iqna

IQNA

shughuli za qurani
Shughuli za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) - Vituo vitano vya kusoma Qur'ani vimeanzishwa katika mji wa Najaf nchini Iraq huku waumini wakijitayarisha kushiriki katika maombolezo kwa mnasaba wa kukumbuka siku ya kuaga dunia Mtume Muhammad (SAW) katika siku zijazo.
Habari ID: 3475829    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/09/23